Thursday, April 9, 2009

Salaam toka kwa Nasibu

Vipi Mazee,
Hongera kwa kuanzisha blog. Nimeitembelea na ninaona sasa utakuwa na kontakti moja kwa moja na wasomaji wako.
Hiyo italeta changamoto kwa dizaini mpya.
Kazia nyuzi hapo hapo mpaka gitaa lilie! I would like to give some suggestions if you think that is ok.
Wako,
Nasibu Mwanukuzi
Webmaster/CEO
Kongoi Productions

No comments: